Mrema Afunguka Kuhusu KOFIA Aliyopewa na Magufuli..."Amenipa Urithi"

 


"Kofia hii sitaitoa maana Rais MagufuliJP ni kama amenipa urithi ni kitu kikubwa sana, sio kila mtu anavishwa kofia na Rais, hii ni ishara kuwa wanachama wa CCM Vunjo kuwa Mrema ndio mwanangu mpigieni kura" Agustino Mrema, Mgombe Ubunge Jimbo la Vunjo kupitia TLP

  • TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE WADAU SAPORT YENU MUHIMU SANA

Comments