Niko Njia Panda..Mchumba Wangu Ana Maumbile Mkubwa sana....

 

 Nimepata Mchumba japo simpendi sana anataka kunioa.tatizo lake ana uume mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.

Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana. Huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au ananichezea tu ila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi.

  • TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE WADAU SAPORT YENU MUHIMU SANA NAWATEGEMEA KATIKA HILI ASANTEN


Nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tatizo tu ni maumivu nayopata Naombeni ushauri maana kuolewa nataka ila maumivu sitaki

Comments