DC wa Arusha Afunga Ndoa na Miss Dodoma

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Labani Kihongosi, jana amefunga ndoa mkoani Iringa na mchumba wake  Adilla Chigomelo aliyewahi kuwa mshindi wa taji la ulimbwende Kanda ya Kati  na Jiji la Dodoma (Miss Central Zone na Miss Dodoma City mwaka 2018/2019)

  • TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE 

Comments