Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera Amuondolea Kinga ya Kutoshtakiwa Rais wa Zamani, Peter Mutharika

Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera Amuondolea Kinga ya Kutoshtakiwa Rais wa Zamani, Peter Mutharika.

Amechukua hatua hiyo ndani ya saa 24 baada ya kuingia madarakani. Awataka mawaziri kurudisha mali za serikali, amfukuza kazi mkuu wa polisi

  • TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE WAKUBWA TU

Comments