Mwanaume Afungua Kesi Mahakamani Kudai Figo Aliyompatia Mkewe


Baada ya kupeana talaka, Richard Batista atinga Mahakamani kudai figo yake aliyowahi kumpa mkewe alipokuwa mahututi mwaka 2001.

"Amenisaliti sana, Siwezi kumuacha atumie figo yangu akiwa na mwanaume mwingine. Nahitaji figo irudi, Maisha yaendelee," Anaeleza Richard.

Una Maoni Gani?
TAZATA

  • TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE WAKUBWA TU

Comments