Tafsiri ya Shhuka Kitandani kwa mwanamke inamaana Kubwa sana kwa mwanaume hasa wale walio katika mahusiano ,leo tuangalie jinsi shuka za rangi zinavyoweza kubeba ujumbe wa kimapenzi kwa mume wako au mpenzi wako
TUANZE NA SHUKA NYEUPE
,au la cream
Shuka hili maana yake ni kwamba Mumewangu Leo nimejiandaa vya kutosha.......nimekamilika kila idara wewe tu uje mpenzi ujilie vyako......yaani ukiweka hili haswa hii siku ya shughuli uwanjani
- TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE WAKUBW ATU
Shuka jekundu............
Mumewangu Niko Tayari kukupa mambo..........but tukae tuongee kwanza kwani mwenzako hali si shwari Leo......Niko kwenye siku za hatari......ukikosea tu utanipa ujauzito ilhali hatujajiandaa kupata mtoto kwasasa......shuka hili tumia siku za hatari
Shuka jeusi au la rangi udongo..
.Mumewangu Leo lisijikii kabisa........tulale tu nimechoka sana Leo tusifanye kabisa
Shuka la Kijani......blue bahari.....au green apple'au blue
Mumewangu Niko radhi najisikia hamu Leo tujiachie baby Tena Niko kwenye siku nzuri za kupata ujauzito......baby Leo mechi ieleweke kwani tukicheza vizuri Leo ntapata ujauzito
Shuka la pink au orange
Baby sijisikiii,naumwa Leo tusifanye kabisa naumwa mpenzi .....tukumbatiane tu
Shuka la njano
Baby umenikosea........Nina hasira Leo sikosawa........nitake radhi yaishe tuendelee kuenjoy penzi letu
Shuka la zambarau
Baby naomba unisamehe najuta kwakosa nlilokufanyia.....
Shuka la mchanganyiko wa ranginyingi yaani rangizaidi ya tatu zikiwa kwenye shuka moja
Baby Leo naomba tufanyiane USAFi.......hapo ni siku unayoona kichaka chahitaji jambia cjui tumeelewana.....
Tutazidi kueleweshana kadri tutavyojaaliwa kwaleo tuishie hapa
KUMBUKA
Si shuka zote zina maana.....waweza weka tu ukiwa huna maana yoyote,ila kwawadada waliofundwa,ni vema kufanya mamboyao tofauti na wasungo,pia waweza mfunda mumeo ili ukimwekea shuka Fulani isimlazimu mazungumzo basi yawe ni mahojiano na utekelezaji tu wa kile shuka inachosema.
Comments
Post a Comment