Nimemfuma MKE wa Kaka na Mchepuko...Kumuuliza Anasema Kaka Hawezi Mambo..Anataka Kunipa na Mimi

Baada ya kumkuta na njemba fulani analochepuka nalo, akajitetea kwamba ndugu yangu hawezi kazi ndio maana ameamua kuchepuka, ila kama nataka aachane na jamaa basi Mimi niwe tayari kumpa huduma.

  • TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE WAKUBWA TU

Ilikuwa Kama utani vile lakini naona yuko serious ameamua kunitia majaribuni

Ananitumia jumbe Whatsapp na kuzifuta nikimuuliza ujumbe uliotuma unahusu nini ananiambia amesahau alichoandika, yaani naelekea kushindwa na huu mtihani

Chonde chonde akina shemeji popote mlipo acheni kuwatia majaribuni ndugu wa mabwana zenu, mtavunja udugu wao mtajenga uhasama usiokuwa na kikomo

Comments