Lecturer Alinifungia Ofisini,Alinichania nguo Nakutaka Kunibaka

Habar waNa UTAMU WAKUBWA TU
Polen na majukumu. Hivi karibun nilikwenda kuhakiki course work yangu kwa mwalimu husika wa somo hilo lakini nilikuwa napigwa danadana.Kila nikienda ananiambia anahudumia watu wengine nakunipangia muda wa kuanzia ucku.

  • TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE

Mara ya kwanza aliniambia atanijazia lakini naye kuna kitu anakihitaj kutoka kwangu.............nilipo hojo ni kitu gana akaniambia ninakimiliki mwenyewe na hakihitaji tume kuamua, Nikaondoka nakurudi tena zaidi ya mara 3 nakuahidi kuwa atanijazia lakini cha ajabu Nilipokwenda kwa Hod bado haikubadilishwa, nikaamua kurud kwa mwlm lkn kilichofuata nikunichania nguo nakutaka kunibaka oficin kwake nilijinasua lkn nijigonga kwenye ukuta na kupasuka puan.

Naomba mnisaidie wana udaku maana nimelirudisha swala hilo kwa Hod lakin nae amesema atalirudisha kwa mkuu wake.Nilimrekod katika simu mara zote nilipokwenda kwake isipokuwa siku ambayo aliyonichania skintight na kutaka kunifanyia huo unyama..............!

Naomben msaada wenu pliz coz mm na yeye tumefikia pabaya sana.

Comments