Mambo ya k\Kufanya Ukifumaniwa...!!!!


1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.

2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)

  • TAZAMA  VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE

3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).

4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi

Comments