Mke Wangu Kawa Mtaalam Kitandani Ghafla, Ina Maana Gani?

Wapendwa shalom,

Napenda kuwauliza kuwa kama siku zote wakati wa unyumba mke hakua akijua kukata mauno, kama tunafanya anakua amelala tu haangaiki, sasa ghafla anaanza kuonyesha ujuzi, kuna usalama hapo kweli?

Mfano haya mambo ya kunyonya nyeti, anabinuka ktk namna ambayo unashindwa hata kuelewa amefaham vipi

Pia hii mikao ya kidunia hatukua tunafanya, anataka moja tu ya mama chini, baba juu, sasa ndie ananielekeza mm hizo za kishetani ambazo tulishazikataa kitambo kwa ushauri wa mama mchungaji.

Nilikua na wasi wasi isije ikawa ameamua kunilipizia kisasi ameenda amefundishwa na jitu lingine huko nje!

Kuna pahala mtu anaweza kujifunza haya matendo bila kufanya?

Comments