Kama MWANAUME Ushafanyiwa Haya na Demu Wako, Nyoosha MKONO Juu, Jifanye Kama Unajikuna

Ameandika Okoyoko

Loading...

Hello guys,

Nadhani Mara nyingi ku-date na wanawake ni hasara, they don't add anything in our lives zaidi ya kutugea papuchi..bora tu mtu uwe single na ujipi self, kati ya wadada wote ulio-date nao ni wadada wangapi walishakufanyia haya:

1) Kujitolea kuja kukufanyia usafi kwenye ghetto lako, na kama hauishi ghetto
2) Ni wangapi walijitolea kuja kuchukua nguo zako, wakazifue then wakurudishie zikiwa safi.
3) Ni wangapi walijitolea kukupikia chakula home kwao, na kukuletea msosi kwenye hotpot, au kuja ghetto kwako kukupikia msosi

See, ukiangalia kati ya mademu 10 ulio-date nao, aidha ni mmoja alishawahi kukufanyia hivyo, au hakuna hata mmoja aliewahi kukufanyia hayo

Shit, u will invest your time, money, effort, emotions, attention, on her and she will give almost nothing in return, kibiashara, most women are bad investments..ila kwasabbu wanaume tunapenda sana papuchi we won't see all this, ila huu ndo ukweli,

Most women expect many things kutoka kwa mwanaume, yet they have nothing to offer kwenye mahusiano zaid ya papuchi, shit most of them can't even carry an interesting conversation with a man, kwa kifupi wanawake wengi hawa-invest chochote kwenye mahusiano...wanaume tunafuata tu peer pressure kwamba ikifika umri flani inatakiwa uwe na girlfriend ila in reality most of the times hatufaidiki chochote.

Je Unakubaliana na Mdau hapo juuu?

Comments