Wakili wa kujitegemea Fatuma Karume amewajia juu waliodukua picha yake akiwa anakunywa chai na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje ya nchi, Bernard Membe na kuwaita ni wapumbavu wakubwa.
Baada ya kudukuliwa kwa picha hiyo ilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii.
Fatuma katika ukurasa wake wa kijamii wa Twitter leo ameeleza kuwa jana wadukuzi wamempiga picha huku akiwataka waende kutafuta simu zenye kamera nzuri.
Aliongezea kuwa:”Kama wanadhani mimi ninawagopa waje tu. Kwani kutesana ni kwa zamu tu,”

“Mnapiga picha saa tano asubuhi inatoka kama imepigwa usiku wa manane. Nitakutana na mtu yoyote ninayejisikia kuonana naye. Wapumbavu wakubwa,” alisema Fatuma
Aliongezea kuwa:”Kama wanadhani mimi ninawagopa waje tu. Kwani kutesana ni kwa zamu tu,”

Comments
Post a Comment