Diamond Platnumz Aitikisa Kigali, Warembo Wang’ang’ania Jukwaani (+video)


Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo Agosti 18, 2019 alikuwa na show nchini Rwanda ambapo alitumia zaidi ya saa 1 kutumbuiza ‘live’ mbele ya mamia ya mashabiki wake nchini humo. Tazama video ya show hiyo;

VIDEO:

Comments