Mapenzi Yamvuruga Lulu Diva Amtetea Jaguar, "Wabongo Tulipaniki, Aliwatetea wananchi wake"

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Lulu Diva amesema kuwa kauli ya Jaguar ya kuwapiga na kuwafukuza wafanyabiashara wa kigeni nchini Kenya ilikuwa ni ya kisiasa na ililenga kuwasaidia wananchi wake.



Akiongea na Bongo5, Lulu Diva amesema kuwa ni kawaida sana kwa kiongozi kutetea wananchi wake, Na kudai kuwa Watanzania walipaniki kupitia ile kauli lakini ilikuwa ni ya kawaida

Comments