Mahakama ya Mwanzo ya Mwandiga Mkoani Kigoma, imemkuta na kesi ya kujibu Diwani wa Kata ya Mwanga Revocatus Kipando (Baba Levo), baada ya kutuhumiwa kufanya shambulio kwa Askari wa usalama barabarani akiwa kazini July 15, 2019.
Uamuzi huo umekuja baada Hakimu wa Mahakama hiyo Frolence Ikorongo, kusikiliza upande wa mshitaki akiwa na mashahidi wawili ambao ni Mussa Lukomati na Karume Rashidi, ambao walieleza tukio hilo lilitokea July 15, majira ya saa 1 usiku.
Mashahidi wameeleza kuwa Baba Levo alimshambulia askari anayefahamika kwa jina la Msafiri Ponera, akiwa eneo lake la kazi eneo la Kwabela, na inadaiwa mtuhumiwa alilazimisha kupita kwa pikipiki wakati askari huyo akiwa waruhusu watembea kwa miguu, na baada ya hapo Baba Levo aliamua kumshambulia askari huyo.
Hakimu Ikorongo amesema kuwa, “kifungu cha 240 sura ya 16 kanuni ya adhabu chapisho la mwaka 2002, Mahakama imemkuta mshtakiwa Baba Levo na kesi ya kujibu baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshtaki”
Kesi hiyo imeahirishwa hadi July 30, 2019, ambapo kwa sasa mtuhumiwa Baba levo yuko nje kwa dhamana.
RC BORA TANZANIA “RAIS MAGUFULI ANAKUJA KWANGU ATAOANA TOFAUTI YA NANENAE HII”
MAGUFULI ASHANGAA CHUMBA KULIPIWA ZAIDI YA MILIONI SITA KULALA TU!
RELATED ITEMSTZA HABARI SHARE TWEET SHARE SHARE COMMENTS ← PREVIOUS STORY RC bora Tanzania “Rais Magufuli anakuja kwangu ataona tofauti ya Nanenane hii” (+video)SOMA NA HIZIRC bora Tanzania “Rais Magufuli anakuja kwangu ataona tofauti ya Nanenane hii” (+video)Babu wa miaka 80 na wenzie wadaiwa kuipa TRA hasara ta Milioni“Tumekamata dawa za kulevya” Kamishna wa Intelijensia (+video)TUPIA COMMENTS

Comments
Post a Comment